Swali: Ambaye ni mjinga na akachinja kabla ya Swalah ya Idi na hakujua isipokuwa baada ya kutoka nje muda wa kuchinja ni lipi la wajibu juu yake?

Jibu: Udhhiyah imempita. Ale nyama na amhimidi Allaah na haiwi Udhhiyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014