Kusema “Dawa imeninufaisha baada ya Allaah”

Swali: Ni ipi hukumu ya kusema hivi “Dawa hii imeninufaisha baada ya Allaah (´Azza wa Jalla)” na kuna ubaya?

Jibu: Hakuna neno. Inatosheleza kusema “Allaah ameninufaisha kwayo” badala ya kusema “… baada ya Allaah.” Sema “Allaah ameninufaisha kwayo”.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014