Zakaat-ul-Fitwr ya mke kwa mujibu wa Maalik

Maalik amesema:

“Ni lazima kwa mume kumtolea mke wake Zakaat-ul-Fitwr kutoka kwa pesa zake mwenyewe, ingawa yeye mwenyewe yuko na pesa zake. Mwanamke si lazima kulipa ikiwa ameolewa. Kwa vile mume wake anatakiwa anatakiwa kumhudumia, basi kadhalika yeye ndiye anapaswa kumlipia Zakaat-ul-Fitwr.

  • Mhusika: Imaam Sahnuun bin Sa´iyd at-Tanuukhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mudawwanah al-Kubraa (1/115)
  • Imechapishwa: 28/04/2022