Swali: Tunataka kujua hukumu ya mtu asiyewakufurisha makafiri?
Jibu: Ambaye kumethibiti kufuru yake ni wajibu kuitakidi kufuru yake na kumhukumu nayo na mtawala kumsimamishia adhabu ya Kishari´ah kwa kuritadi ikiwa hakutubu.
Asiyemkufurisha ambaye kumethibiti ukafiri wake, basi yeye ndiye kafiri. Isipokuwa ikiwa kama kutakuwa na utata katika hilo. Hapo itabidi kwanza kumuondoshea utata wake huyo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/93-94)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Tunataka kujua hukumu ya mtu asiyewakufurisha makafiri?
Jibu: Ambaye kumethibiti kufuru yake ni wajibu kuitakidi kufuru yake na kumhukumu nayo na mtawala kumsimamishia adhabu ya Kishari´ah kwa kuritadi ikiwa hakutubu.
Asiyemkufurisha ambaye kumethibiti ukafiri wake, basi yeye ndiye kafiri. Isipokuwa ikiwa kama kutakuwa na utata katika hilo. Hapo itabidi kwanza kumuondoshea utata wake huyo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/93-94)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/yeye-basi-ndiye-kafiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket