Swali: Tunataka kujua hukumu ya mtu asiyewakufurisha makafiri?

Jibu: Ambaye kumethibiti kufuru yake ni wajibu kuitakidi kufuru yake na kumhukumu nayo na mtawala kumsimamishia adhabu ya Kishari´ah kwa kuritadi ikiwa hakutubu.

Asiyemkufurisha ambaye kumethibiti ukafiri wake, basi yeye ndiye kafiri. Isipokuwa ikiwa kama kutakuwa na utata katika hilo. Hapo itabidi kwanza kumuondoshea utata wake huyo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/93-94)
  • Imechapishwa: 24/08/2020