Swali: Hadiyth ya Anas inayosema:

“Nimewapitia watu walio na kucha kama misumari wanazikwangura nyuso zao.”

Je, adhabu hii ni ndani ya kaburi?

Jibu: Udhahiri – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni Barzakh. Kwa maana nyingine ni kipindi kati ya kufa, kufufuliwa na kukusanywa kwake. Tunamuomba Allaah usalama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23193/هل-الوعيد-يخمشون-وجوههم-في-البرزخ
  • Imechapishwa: 24/11/2023