Ambaye daima anasema uwongo ni mnafiki?

Swali: Mtu anapokuwa daima anasema uwongo aambiwe kuwa ana sifa za wanafiki au aambiwe kuwa ni mnafiki?

Jibu: Aambiwe kuwa ana moja miongoni mwa sifa za unafiki. Hivyo anatakiwa kujihadhari na kutubu kwa Allaah kutokana nayo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23192/هل-يوصف-بالنفاق-من-كان-داىم-الكذب
  • Imechapishwa: 24/11/2023