Swali: Je, inafaa kwa watu kushirikiana kuchinja ng´ombe au ngamia kwa ajili ya Udhhiyah?
Jibu: Ndio. Watu saba kwa ajili ya ng´ombe na saba kwa ajili ya ngamia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 29/07/2023