Msafiri anaswali ´Aswr kabla ya wakati wake

Swali: Niliswali Dhuhr na mkusanyiko katika mji wangu. Kisha nikasafiri baada ya swalah. Nilipotoka nje ya mji, nikaswali ´Aswr papohapo…

Jibu: Hapana, haijuzu kufanya hivo kwa sababu haujaingia wakati wake. Swali ´Aswr wakati utakapoingia wakati wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 29/07/2023