Mfanya matabano anajua ni wapi ulipo uchawi

Swali: Sisi tuko na mtu anayefanya matabano akiwa mbali na anadai kuwa anafichukua mahali ulipo uchawi…

Jibu: Huyu ni mwongo na dajali. Msende kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 29/07/2023