Swali: Kuna mtu alihiji mwaka jana na wala hakufanya ile Say´ ya wajibu. Je, aitekeleze mwaka unaokuja?
Jibu: Hapana, aharakishe kuifanya. Aende Makkah na atekeleze ile Say´ ya lazima. Anatakiwa kuharakisha kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
- Imechapishwa: 29/07/2023