Watoto kumrithi baba asiyeswali

Swali: Je, watoto wanamrithi baba yao ikiwa haswali?

Jibu: Hakimu akihukumu juu ya kwamba ni kafiri, basi watoto wake hawatomrithi. Hili linarejea kwa wale mahakimu. Hakuna mwenye haki ya kufuta mirathi isipokuwa qaadhiy.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 07/09/2023