Anayeua kwa bahati mbaya aha haki ya kurithi?

Swali: Kuua ni miongoni mwa vikwazo vya kurithi. Je, anayeua kimakosa ana haki ya kurithi?

Jibu: Hapana, hana haki ya kurithi ijapo ni kwa makosa kwa sababu ya kufunga mlango.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 07/09/2023