Swali 11: Safari yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya pili kuelekea Shaam ilikuwa lini?
Jibu: Safari yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya pili kuelekea Shaam ilikuwa kumfanyia biashara Khadiyjah (Radhiya Allaahu ´anhaa). Alikuwa pamoja na mtumwa wake Maysarah. Aliporejea ndipo akamuoa. Kipindi hicho alikuwa na miaka 25.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 93-94
- Imechapishwa: 07/09/2023