Swali: Nataka kufanya Hijrah katika mji wa Kiislamu. Lakini watoto zangu hawataki kutoka katika mji wa kikafiri. Unanishauri nini mimi na wao?
Jibu: Ikiwa unaweza kuwalazimisha, walazimishe. Ikiwa huwezi fanya Hijrah peke yako. Fanya Hijrah peke yako na uendelee kuwaita katika kufanya Hijrah na kuwasiliana nao ili Allaah aweze kuwaongoza.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-5-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Nataka kufanya Hijrah ila mamangu hataki
Swali: Mimi naishi katika mji wa kikafiri na nataka kufanya Hijrah. Lakini naishi peke yangu na mama yangu na yeye hataki kufanya Hijrah. Wakati huo huo siwezi kumuacha mama yangu peke yake. Ni lipi la wajibu ninalotakiwa kufanya? Jibu: Shikamana barabara na dini yako na uwe na subira naye na mtendee…
In "Kuwatendea wema wazazi"
Hijrah kutoka miji ya Kiislamu ambapo wanaabudia makaburi
Swali: Katika baadhi ya miji ya Kiislamu kuna makaburi na yanafanyiwa Twawaaf. Je, ni wajibu kwa waislamu walioko huko kufanya Hijrah? Jibu: Ni juu yako kufanya lile unaloweza. Ni juu yako kuwalingania na kuwabainishia. Ikiwa una elimu wabainishie kuwa ni Shirki na kwamba haijuzu kwa dalili kutoka katika Qur-aan na…
In "ar-Raajihiy kuhusu Hijrah"
Wazazi makafiri hawataki msichana wao afanye Hijrah na aolewe
Swali: Mwanamke huyu ni wa kutoka Ujerumani amesilimu na anataka kuolewa na kufanya Hijrah katika nchi hii. Lakini wazazi wake ambao ni makafiri hawataki hayo. Je, awatii katika hilo? Jibu: Asiwatii katika hayo. Asiwatii katika kumuasi Allaah; si katika kuacha Hijrah wala kuacha kuolewa.
In "Kuwatendea wema wazazi"