Watoto hawataki kufanya Hijrah

Swali: Nataka kufanya Hijrah katika mji wa Kiislamu. Lakini watoto zangu hawataki kutoka katika mji wa kikafiri. Unanishauri nini mimi na wao?

Jibu: Ikiwa unaweza kuwalazimisha, walazimishe. Ikiwa huwezi fanya Hijrah peke yako. Fanya Hijrah peke yako na uendelee kuwaita katika kufanya Hijrah na kuwasiliana nao ili Allaah aweze kuwaongoza.

Check Also

Kutoka nchi ya kikafiri na kuhajiri nchi ya kikafiri nyingine

Swali: Je, inajuzu kuhama kutoka katika nchi ya kikafiri na kwenda katika nchi ya kikafiri …