Myahudi au mnaswara akitubu kwa zinaa inafaa kumuoa?

Swali: Mwanamke wa Kitabu akitubu kwa zinaa inajuzu kwa muislamu kumuoa ilihali bado ni myahudi au mnaswara?

Jibu: Ndio. Maadamu ametubu na akawa mtwaharifu, unaweza kumuoa.

Check Also

Kaoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab ambaye hataki kuingia katika Uislamu

Swali: Nimeoa mwanamke wa Ahl-ul-Kitaab kabla ya kuwa na msimamo, na nimepewa fatwa na baadhi …