Mtoto wa shangazi ambaye mamake alinyonya kwa mamangu anataka kumuoa msichana wangu

Swali: Mama yangu alimnyonyesha shangazi yangu. Je, inajuzu mtoto wa shangazi yangu kumuoa msichana wangu?

Jibu: Hapana. Haijuzu.

Check Also

Mwanamke mjinga ameenda kuolewa na kafiri

Swali: Kuna mwanamke ni Muislamu na hajui lolote juu ya Uislamu na ameenda kuolewa na …