Wajinga wanaofanya shirki ndani ya miji ya waislamu

Swali: Wajinga ambao wanashirikisha kwenye makaburi bila ya kujua ilihali wanaishi ndani ya miji ya waislamu. Wametiwa mchanga wa machoni…

Jibu: Haijalishi kitu muda wa kuwa wanaishi kati ya waislamu na wamefikiwa na Qur-aan hawaingii ndani ya Ahl-ul-Fatrah na hawapewi udhuru.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24466/هل-يعذر-الجاهل-اذا-وقع-في-الشرك
  • Imechapishwa: 17/10/2024