Swali: Kumuombea du´aa mtu mwingine kheri au shari wakati hayuko mbele yako.
Jibu: Si sawa na haijuzu kumuombea du´aa mbaya ndugu yake. Haijuzu kuomba du´aa dhidi ya ndugu yake. Hata hivyo ni sawa ikiwa ni kulipiza kisasi. Ndugu yake akimwambia ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue”, huku ni kulipiza kisasi na hapana vibaya. Lakini asidizishe. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu wawili wanaotukanana dhambi zinarejea kwa yule aliyeanza muda wa kuwa hatochupaka mipaka mdhulumiwa.”
Akimwambia ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue na akulaani”, amezidisha katika jumla hiyo ya pili. Jumla ya kwanza ni kisasi na jumla ya pili ni dhuluma. Au akamwambia ”Allaah akuue” na akakariri, kukariri ni kosa. Hata hivyo akimjibu kama alivyomwambia ”Allaah akudhalilisha” naye akamwambia ”Allaah akudhalilisha wewe”, au ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue wewe”, huku ni kulipiza kisasi. Akizidisha anakuwa ni mwenye kudhuluma.
Kumuombea du´aa mbaya, ni mamoja nyuma ya mgongo wake au mbele yake yote ni maovu na hayajuzu. Isipokuwa ikiwa ni kwa njia ya kulipiza kisasi.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24462/حكم-الدعاء-على-الغير-بالشر-بالغيب-والشهادة
- Imechapishwa: 17/10/2024
Swali: Kumuombea du´aa mtu mwingine kheri au shari wakati hayuko mbele yako.
Jibu: Si sawa na haijuzu kumuombea du´aa mbaya ndugu yake. Haijuzu kuomba du´aa dhidi ya ndugu yake. Hata hivyo ni sawa ikiwa ni kulipiza kisasi. Ndugu yake akimwambia ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue”, huku ni kulipiza kisasi na hapana vibaya. Lakini asidizishe. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Watu wawili wanaotukanana dhambi zinarejea kwa yule aliyeanza muda wa kuwa hatochupaka mipaka mdhulumiwa.”
Akimwambia ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue na akulaani”, amezidisha katika jumla hiyo ya pili. Jumla ya kwanza ni kisasi na jumla ya pili ni dhuluma. Au akamwambia ”Allaah akuue” na akakariri, kukariri ni kosa. Hata hivyo akimjibu kama alivyomwambia ”Allaah akudhalilisha” naye akamwambia ”Allaah akudhalilisha wewe”, au ”Allaah akuue” naye akamjibu ”Allaah akuue wewe”, huku ni kulipiza kisasi. Akizidisha anakuwa ni mwenye kudhuluma.
Kumuombea du´aa mbaya, ni mamoja nyuma ya mgongo wake au mbele yake yote ni maovu na hayajuzu. Isipokuwa ikiwa ni kwa njia ya kulipiza kisasi.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24462/حكم-الدعاء-على-الغير-بالشر-بالغيب-والشهادة
Imechapishwa: 17/10/2024
https://firqatunnajia.com/kumuombea-duaa-mbaya-ndugu-yako/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)