Swali: Je, kila mtu anayo nyumba Peponi na Motoni?
Jibu: Ndio, kwa hekima Yake Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Yeye (Subhaanahu wa Ta´ala) anajua hali ya watu hawa na hali ya watu hawa. Kwa ajili hiyo akifa anaona makazi yake Peponi na anaona makazi yake Motoni. Muumini akifa anaambiwa ”Haya ndio makazi yako Motoni endapo ungelikufa juu ya kumshirikisha Allaah”. Kwa vile umekufa juu ya Uislamu ndipo Allaah akakulinda na akakupa makazi Peponi. Vivyo hivyo kinyume chake. Katika hali hiyo muumini atazidi furaha na kafiri atazidisha majuto.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24470/هل-لكل-انسان-بيت-في-الجنة-والنار
- Imechapishwa: 17/10/2024
Swali: Je, kila mtu anayo nyumba Peponi na Motoni?
Jibu: Ndio, kwa hekima Yake Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Yeye (Subhaanahu wa Ta´ala) anajua hali ya watu hawa na hali ya watu hawa. Kwa ajili hiyo akifa anaona makazi yake Peponi na anaona makazi yake Motoni. Muumini akifa anaambiwa ”Haya ndio makazi yako Motoni endapo ungelikufa juu ya kumshirikisha Allaah”. Kwa vile umekufa juu ya Uislamu ndipo Allaah akakulinda na akakupa makazi Peponi. Vivyo hivyo kinyume chake. Katika hali hiyo muumini atazidi furaha na kafiri atazidisha majuto.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24470/هل-لكل-انسان-بيت-في-الجنة-والنار
Imechapishwa: 17/10/2024
https://firqatunnajia.com/kila-mtu-ana-makazi-yake-peponi-na-motoni/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)