Kijana wa Kiislamu anapaswa kutahadhari nao na asome mfumo sahihi wenye kuwakilishwa katika kitabu “ash-Shariy´ah” cha al-Aajjurriy, “as-Sunnah” cha al-Khallaal, “Sharh Usuul-il-I´tiqaad Ahl-us-Sunnah” cha al-Laalakaaiy, “al-Ibaanah” cha Ibn Battwah na vinginevyo. Ni vitabu hivi ndivyo vinavyowakilisha Manhaj ya Salaf na sio vitabu vya Sayyid Qutwub, vitabu vya upotevu, vitabu vya watu wa Bid´ah, vitabu vya Rawaafidhw na vitabu vya Khawaarij.

  • Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=26874
  • Imechapishwa: 07/05/2015