Swali: Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba usiku alipopandishwa [mbinguni] aliona baadhi ya watu Motoni ambao wamefanya madhambi. Vipi hilo na wakati Qiyaamah bado hakijasimama na siku ya hesabu haijafika?
Jibu: Hili ni haki. Ni wajibu kuliamini. Haijuzu kuingia katika mambo ambayo ni kazi ya kipekee ya Allaah (Ta´ala).
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/269)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Hadiyth ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba usiku alipopandishwa [mbinguni] aliona baadhi ya watu Motoni ambao wamefanya madhambi. Vipi hilo na wakati Qiyaamah bado hakijasimama na siku ya hesabu haijafika?
Jibu: Hili ni haki. Ni wajibu kuliamini. Haijuzu kuingia katika mambo ambayo ni kazi ya kipekee ya Allaah (Ta´ala).
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/269)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/vipi-mtume-aliwaona-watu-wa-motoni-na-qiyaamah-bado/