Swali: Vipi inakuwa kukemea maovu kwa mdomo?
Jibu: Kukemea maovu kwa mdomo ni wewe kumwambia amche Allaah, kwamba haijuzu na kwamba ajue kuwa Allaah anamchunga. Huku ndio kukemea maovu kwa mdomo. Kukemea maovu kwa mkono ikiwa ni pumbao za muziki azivunje au picha aivunje. Ikiwa wamekusanyika juu ya kitu cha batili atengane nao ikiwa anaweza kufanya hivo. Mfano wa wanaoweza kufanya hivo ni baba mwenye nyumba, polisi na kiongozi. Watu kama hawa wanao uwezo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21979/كيف-يكون-الانكار-باللسان-واليد
- Imechapishwa: 08/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)