Swali: Je, inafaa kwa mke kumkatalia mume asiyeswali anapomwita kitandani?

Jibu: Ikiwa haswali ndoa hiyo ni batili. Mwanamke huyo si halali kwake.

Swali: Ikiwa haswali msikitini na mwanamke akataka kuepuka kitanda chake kwa sababu ya kumtia adabu?

Jibu: Amsikilize, amtii na amnasihi. Lakini ikiwa anaacha swalah kabisa kuiacha kwake ni ukafiri.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/حكم-هجر-المراة-فراش-زوجها-الذي-لا-يصلي
  • Imechapishwa: 08/10/2022