Swali: Baadhi ya waume wanawakataza wake zao kufunga swawm zinazopendeza?
Jibu: Hapana vibaya kwao. Yeye mume anamuhitajia kustarehe naye. Kwa hiyo akimkataza basi ni sawa kufanya hivo.
Swali: Baadhi yao wanakuwa safarini?
Jibu: Hapana, akiwa msafiri basi hana haki ya kufanya hivo.
Swali: Anamwambia asifunge kwa sababu ya afya yake, uzuri wake na kadhalika.
Jibu: Hapana, hana haki. Akisafiri basi inafaa kwa mke kufunga kutokana na dalili ya Hadiyth.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21969/حكم-منع-الزوج-زوجته-من-صيام-التطوع
- Imechapishwa: 08/10/2022
Swali: Baadhi ya waume wanawakataza wake zao kufunga swawm zinazopendeza?
Jibu: Hapana vibaya kwao. Yeye mume anamuhitajia kustarehe naye. Kwa hiyo akimkataza basi ni sawa kufanya hivo.
Swali: Baadhi yao wanakuwa safarini?
Jibu: Hapana, akiwa msafiri basi hana haki ya kufanya hivo.
Swali: Anamwambia asifunge kwa sababu ya afya yake, uzuri wake na kadhalika.
Jibu: Hapana, hana haki. Akisafiri basi inafaa kwa mke kufunga kutokana na dalili ya Hadiyth.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21969/حكم-منع-الزوج-زوجته-من-صيام-التطوع
Imechapishwa: 08/10/2022
https://firqatunnajia.com/mume-hana-haki-ya-kumkataza-mke-kufunga-anapokuwa-safarini/