Uwajibu wa hajj pale tu mtu anakuwa na uwezo

Swali: Je, uwajibu wa hajj unakuwa pale tu mtu anapokuwa na uwezo?

Jibu: Haya ndio maoni ya sawa na ndio maoni yenye nguvu. Wanazuoni wamekinzana. Lakini maoni yenye nguvu ni kwamba inawajibika pale tu mtu anapokuwa na uwezo kunapotimia masharti na akapata mali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22071/هل-فرض-الحج-على-الفور-ام-التراخي
  • Imechapishwa: 22/10/2022