Swali: Nadhiri ya kumuasi Allaah.

Jibu: Maoni sahihi ni kwamba anatakiwa kutoa kafara ya kiapo. Mwenye kuweka nadhiri ya kuvuta sigara anatakiwa kutoa kafara ya kiapo na wala asivute sigara.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22073/حكم-نذر-المعصية
  • Imechapishwa: 22/10/2022