Sifa za fasiki na fasiki ni mtu gani?

Swali: Sifa za mtu fasiki.

Jibu: Sifa za mtu fasiki ni kuwa anatangaza maasi, anatangaza uzinzi na anatangaza unywaji pombe. Hizi ndio sifa za fasiki. Anatangaza maasi na kuyaanika hadharani.

Swali: Je, muziki ni miongoni mwa sifa za ufuska?

Jibu: Maasi ya waziwazi. Ni kama mfano kuwaasi wazazi wawili, kunywa pombe, kusengenya waziwazi ikiwa mtu anachukulia wepesi jambo hilo na kulitangaza.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22078/ما-صفات-الفاسق
  • Imechapishwa: 22/10/2022