Kuyasifu maradhi kuwa ni mabaya

Swali: Wakati mwingine watu huita ugonjwa wa kansa kuwa ni mabaya (خبيث).

Jibu: Sijui juu yake kitu. Ni kama mfano wa mtu kusema tende mbaya:

وَلَا تَيَمَّمُوا الْخَبِيثَ مِنْهُ تُنفِقُونَ

”Wala msikusudie vibaya kutoka humo mkavitoa.” (02:267)

Makusudio ya vichafu ni vibaya.

Swali: Huko sio kutukana maradhi?

Jibu: Hapana, sio kuyatukana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22079/حكم-وصف-خبيث-لمرض-السرطان
  • Imechapishwa: 22/10/2022