Swali: Baadhi ya watu wanasema kuwa pindi jogoo anawika kwamba amemuona Malaika.

Jibu: Imepokelewa katika Hadiyth kwamba:

“Amemuona Malaika.”

Mkimsikia basi semeni:

اللهم إني أسألك من فضلك

“Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kutokana na fadhilah Zako.”

Msimtukane.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Imechapishwa: 22/10/2022