Swali: Baadhi ya watu kwa njia ya mzaha huambiana “wazazi wako wamelaaniwa”.
Jibu: Hapana, haijuzu kutukana. Si kwa njia ya mzaha au ya kumaanisha kweli.
Swali: Je, laana hiyo inamrudilia yeye wakiwa si wenye kuiistahiki?
Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kumlaani muumini ni kama kumuua.”
“Hakika wale wenye kulaanilaani sio mashahidi wala waombezi siku ya Qiyaamah.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22087/حكم-لعن-الوالدين-على-سبيل-المزاح
- Imechapishwa: 22/10/2022
Swali: Baadhi ya watu kwa njia ya mzaha huambiana “wazazi wako wamelaaniwa”.
Jibu: Hapana, haijuzu kutukana. Si kwa njia ya mzaha au ya kumaanisha kweli.
Swali: Je, laana hiyo inamrudilia yeye wakiwa si wenye kuiistahiki?
Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kumlaani muumini ni kama kumuua.”
“Hakika wale wenye kulaanilaani sio mashahidi wala waombezi siku ya Qiyaamah.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22087/حكم-لعن-الوالدين-على-سبيل-المزاح
Imechapishwa: 22/10/2022
https://firqatunnajia.com/kuwalaani-wazazi-kwa-njia-ya-mzaha/