Utajiri ni ule wa moyo. Mtu akijitosheleza na yale yaliyo kwa Allaah na kuacha kuomba yaliyo kwa watu, basi Allaah humtajirisha na kumfanya kuwa na moyo mtukufu usiomba vilivyo kwa watu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/196)
  • Imechapishwa: 19/02/2023