Wanachuoni wamesema [kuhusiana na mzinifu aliyewahi kuoa au kuolewa] haijuzu kupiga kwa mawe makubwa. Mawe makubwa yatamtaabisha na kumfanya afe haraka. Vilevile haijuzu kupiga mawe madogo sana. Mawe madogo sana yatamtia uzito kufa kwake. Yawe mawe ya wastani ili aweze kuonja maumivu kwelikweli kisha ndio afe.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/168)
  • Imechapishwa: 19/02/2023