Swali: Rafiki yangu kazini ana shubuha nyingi. Mara nyingi hujadiliana naye kisha huazimia kuwa sintorudi kujadiliana naye tena kutokana na ninavyojua madhara ya mijadala katika dini yangu. Lakini inatokea wakati mwingine najadiliana naye tena…
Jibu: Usimpe fursa ya kufanya naye mjadala. Akikuuliza kitu nyamaza na mpuuze. Msuse na umkate. Usimpe fursa ya kufanya naye mjadala.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Rafiki yangu kazini ana shubuha nyingi. Mara nyingi hujadiliana naye kisha huazimia kuwa sintorudi kujadiliana naye tena kutokana na ninavyojua madhara ya mijadala katika dini yangu. Lakini inatokea wakati mwingine najadiliana naye tena…
Jibu: Usimpe fursa ya kufanya naye mjadala. Akikuuliza kitu nyamaza na mpuuze. Msuse na umkate. Usimpe fursa ya kufanya naye mjadala.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-04-09.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/usilipe-fursa-jitu-la-bidah-kujadiliana-naye/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)