Swali: Nikimpa mtu kiwango cha pesa ambacho atakiwekeza katika kitu na baadaye akafilisika, analazimika kuzilipa pesa hizo?
Jibu: Hapana. Ulimwamini juu ya kazi hiyo na hivyo hutakiwi kumtaka azilipe. Jambo la kupata faida na kufilisika haliko mkononi mwake, anaweza kupata faida na anaweza kufilisika. Ni vipi utamtaka kuzilipa?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
- Imechapishwa: 18/02/2022
Swali: Nikimpa mtu kiwango cha pesa ambacho atakiwekeza katika kitu na baadaye akafilisika, analazimika kuzilipa pesa hizo?
Jibu: Hapana. Ulimwamini juu ya kazi hiyo na hivyo hutakiwi kumtaka azilipe. Jambo la kupata faida na kufilisika haliko mkononi mwake, anaweza kupata faida na anaweza kufilisika. Ni vipi utamtaka kuzilipa?
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
Imechapishwa: 18/02/2022
https://firqatunnajia.com/urejeshaji-wa-pesa-zilizowekezwa/