Swali: Nimesikia kuwa umejirejea kuwatahadharisha Jamaa´at-ut-Tabliygh ambapo nikafurahi sana. Ni kipi kilichokufanya ujirejee?
Jibu: Ulichokisikia si sahihi. Mimi natahadharisha kila kundi ambalo linaenda kinyume na madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Mimi natahadharisha kila kundi ambalo linaenda kinyume na madhehebu ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Haya ndio ambayo niliyomo na waliyomo wanazuoni wengine wote na himdi zote anastahiki Allaah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=155748 Tarehe: 1437-02-19/2015-12-01
- Imechapishwa: 21/05/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)