Swali: Nitaenda kumposa mwanamke na nauliza kama nalazimika kumweleza kwamba niliwahi kuoa hapo kabla?
Jibu: Kuna haja gani ya kumweleza kuwa uliwahi kuoa hapo kabla? Unakusudia uko na mke? Kama umeoa na hajui jambo hilo, unatakiwa kumbainishia. Hata hivyo hakuna haja ya kumweleza kwamba hapo kabla uliwahi kuoa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
- Imechapishwa: 11/02/2022
Swali: Nitaenda kumposa mwanamke na nauliza kama nalazimika kumweleza kwamba niliwahi kuoa hapo kabla?
Jibu: Kuna haja gani ya kumweleza kuwa uliwahi kuoa hapo kabla? Unakusudia uko na mke? Kama umeoa na hajui jambo hilo, unatakiwa kumbainishia. Hata hivyo hakuna haja ya kumweleza kwamba hapo kabla uliwahi kuoa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
Imechapishwa: 11/02/2022
https://firqatunnajia.com/uliwahi-kuoa-au-umeoa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)