Swali: Kuna mwanamke hedhi yake imerefuka kwa sababu ya dawa ya kuzuia mimba iliyoingizwa ndani. Matokeo yake akawa si mwenye kuswali kwa kipindi cha siku ishirini. Afanye nini?
Jibu: Hili ni kosa. Kila chenye kuzidi juu ya siku kumi na tano anatakiwa kukilipa. Kikomo cha muda wa hedhi ni siku kumi na tano na uchache wake ni mchana mmoja na usiku wake. Muda wake wa kawaida ni siku sita mpaka saba. Hedhi haitoki nje ya muundo huu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
- Imechapishwa: 11/02/2022
Swali: Kuna mwanamke hedhi yake imerefuka kwa sababu ya dawa ya kuzuia mimba iliyoingizwa ndani. Matokeo yake akawa si mwenye kuswali kwa kipindi cha siku ishirini. Afanye nini?
Jibu: Hili ni kosa. Kila chenye kuzidi juu ya siku kumi na tano anatakiwa kukilipa. Kikomo cha muda wa hedhi ni siku kumi na tano na uchache wake ni mchana mmoja na usiku wake. Muda wake wa kawaida ni siku sita mpaka saba. Hedhi haitoki nje ya muundo huu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (29)
Imechapishwa: 11/02/2022
https://firqatunnajia.com/hedhi-imerefuka-kwa-sababu-ya-dawa-ya-kuzuia-mimba/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)