Swali: Ubakhili unahesabika ni katika madhambi?
Jibu: Ndio, unahesabika ni katika madhambi pale ambapo utamzuia mtu na kheri, Zakaah na haki ambazo ni wajibu. Katika hali hii itakuwa ni katika madhambi makubwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)