Swali: Ubakhili unahesabika ni katika madhambi?

Jibu: Ndio, unahesabika ni katika madhambi pale ambapo utamzuia mtu na kheri, Zakaah na haki ambazo ni wajibu. Katika hali hii itakuwa ni katika madhambi makubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020