Swali: Umesema kuwa Suurah hii inawaraddi Jabriyyah ambao ni Jahmiyyah na Murji-ah. Je, Suurah hii inawaraddi Qadariyyah vilevile?

Jibu: Jahmiyyah ndio Qadariyyah. Jabriyyah ndio Qadariyyah waliovuka mipaka katika kuthitibisha [matendo ya mja].

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020