Swali: Muulizaji huyu kutoka Ufaransa anauliza kama inajuzu kujifunza namna ya kuosha maiti kwa kumuosha mtu ambaye yuko hai ili wengine waweze kutazama namna ya kuosha?

Jibu: Hapana, usilete mtu ambaye yuko hai mnamuosha. Nenda kwa wale wanaoosha jeneza utajua. Soma Fiqh kwa kuwa somo la Fiqh kuna namna ya kuosha maiti. Na kama wataka kujifunza kuitenda kazi nenda kwa wale wanaoosha jeneza na ujifunze.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-10-21.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020