Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye ameenda katika Jihaad pasi na wazazi wake kujua na akafa shahidi. Je, anaingia ndani ya hukumu ya ambaye amepambana jihaad katika njia ya Allaah?
Jibu: Tunataraji kwake hivo – Allaah akitaka. Tunataraji kwake hivo. Tunataraji awe amekufa shahidi na mwenye kusamehewa. Kwa sababu kwenda kwake pasi na idhini ya wazazi juu ya jihaad ni kupenda kwake mambo ya kheri. Kuwaomba idhini wazazi wawili ndani yake kuna mushkili katika jambo kama hili. Tunataraji kwake ujira mkubwa.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdil-´Aziyz bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/4272/حكم-من-ذهب-للجهاد-دون-علم-والديه-واستشهد
- Imechapishwa: 04/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye ameenda katika Jihaad pasi na wazazi wake kujua na akafa shahidi. Je, anaingia ndani ya hukumu ya ambaye amepambana jihaad katika njia ya Allaah?
Jibu: Tunataraji kwake hivo – Allaah akitaka. Tunataraji kwake hivo. Tunataraji awe amekufa shahidi na mwenye kusamehewa. Kwa sababu kwenda kwake pasi na idhini ya wazazi juu ya jihaad ni kupenda kwake mambo ya kheri. Kuwaomba idhini wazazi wawili ndani yake kuna mushkili katika jambo kama hili. Tunataraji kwake ujira mkubwa.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdil-´Aziyz bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/4272/حكم-من-ذهب-للجهاد-دون-علم-والديه-واستشهد
Imechapishwa: 04/06/2022
https://firqatunnajia.com/tunataraji-kwake-amekufa-shahidi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)