Swali: Leo tunaona waabudu makaburi wengi al-Madiynah al-Munawwarah wanadhihirisha shirki zao mbele ya umati na wanajipangusa kwa bwana na kwenye kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Tunapowanasihi wanatucheza shere na kutwambia “nyinyi ni Wahhaabiyyuun”. Tuwafanye nini?
Jibu: Lililo la wajibu kwenu ni kuwakemea kwa ulimi kwa njia ya kuwabainishia. Wasipopokea nasaha pelekeni suala lao kwa kwenda kuwashtaki kwa wasimamizi [sauti haiko wazi] wa al-Madiynah, kamati [ya wanachuoni wakubwa] au Maktabah ya Da´wah. Wafikishieni wasimamizi. Hili ndio la wajibu kwenu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
- Imechapishwa: 28/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket