Swali: Sisi tuko katika mji ambapo wamekithiri Raafidhwah na Suufiyyah. Vipi tutawaokoa ´Awwaam kutoka kwao? Je, tuwalinganie wazushi hawa au ´Awwaam peke yake?

JIbu: Mwenye uwezo ni wajibu kwake kuwalingania walinganizi, kuwabainishia na kuwasimamishia hoja. Kuhusiana na asiyekuwa na uwezo abainishe mambo kiasi na atakavyoweza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
  • Imechapishwa: 28/06/2020