Swali: Kujitolea matumizi kuwapa jamaa wa karibu ni kuunga kizazi?

Jibu: Ni swadaqah na kuunga kizazi. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Swadaqah kumpa masikini ni swadaqah na kuwapa jamaa inakuwa [thawabu] mara mbili; swadaqah na kuunga kizazi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24324/ما-فضل-الانفاق-على-الاقارب
  • Imechapishwa: 28/09/2024