Thawabu za ´ibaadah za Sunnah kwa anayefanya madhambi makubwa

Swali: Je, anapata thawabu ambaye anafanya madhambi makubwa, anaswali, anafanya swalah zinazopendeza, analeta Tasbiyh na Tahliyl?

Jibu: Ndio, anapata thawabu ambazo Allaah amewaandalia waumini. Hata hivyo madhambi yake makubwa hayafutwi isipokuwa mpaka ajiepushe na madhmbi makubwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24319/هل-يوجر-على-النوافل-من-ياتي-الكباىر
  • Imechapishwa: 28/09/2024