Swali: Kuna mtu nimemfafanulia haki juu ya kulingana kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah, lakini ameendelea katika upotevu wake. Anakufuru kwa hilo kwa sababu anamzulia Allaah uongo?

Jibu: Hili halikuhusu. Wajibu wako ni kumbainishia. Akikubali, himdi zote ni za Allaah, na ikiwa hakukubali, amefikiwa na haki. Si jukumu lako kumfanyia Takfiyr au hapana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2015