Shaykh Swaalih Aalush-Shaykh: Suala hili ni muhimu na nataka uliingilie ndani ili lisije kuidhuru Da´wah kwa ujumla wake. Wamejenga taasisi kwa jina Ihyaa’ at-Turaath. Wameanzisha gazeti au jarida linalochapishwa kwa majina yao. Wanatoa makala yanayoita katika Hizbiyyah na mfano wa hayo.
Imaam al-Albaaniy: Sawa.
Shaykh Swaalih Aalush-Shaykh: Mtu kama wewe – Allaah akuhifadhi – anatakiwa kuingilia ndani suala hili ili Da´wah isidhurike kwa ujumla wake.
- Muhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (1003)
- Imechapishwa: 07/04/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Ihyaa’ at-Turaath na ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq ni Hizbiyyuun
Da´wah ya jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath, inayoongozwa na ´Abdur-Rahmaan ´Abdul-Khaaliq, ni Da´wah ya Hizbiyyah. Haijali kusambaza dini na kulingania katika dini. Inajali sana kupata watu. Mmoja wao - na mimi namhimidi Allaah juu ya hilo - ya kwamba Da´wah yao haitopata kidato Yemen maadamu Muqbil yupo. Ni kweli. Ni kweli…
In "Jumuiya Ihyaa' at-Turaath al-Islaamiy"
5. al-Halabiy na taasisi ya Ihyaa´ at-Turaath
´Aliy al-Halabiy ni katika watu wabaya zaidi wanaoshuhudia batili. Anashuhudia kwa watu wapotevu na wenye misingi ilioharibika na mifumo batili ya kwamba ni Salafiyyuuun, amesimama upande wao na kutumia misingi na mifumo yao. Miongoni mwa watu hawa ni: 1- Taasisi ya kikuwait Ihyaa´ at-Turaath Inafanya bidii kuwatenganisha na kuwatawanya Salafiyyuun…
In "Rabiy´ al-Madkhaliy kuhusu al-Halabiy"
Matunda ya Hizbiyyuun yako wapi?
Tunawanasihi ndugu zetu wa Indonesia walinganie katika dini ya Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala), wafanye ´amali zao kwa kumtakasia Allaah (´Azza wa Jall), watilie umuhimu mkubwa katika kusoma na kufundisha na kulingania katika dini ya Allaah. Pesa ambazo jumuiya ya Ihyaa´ at-Turaath inachangia zitakuja kupotea. Wanaenda kwa wafanya biashara na kusema…
In "Jumuiya Ihyaa' at-Turaath al-Islaamiy"